Built in Dar es SalaamImetengenezwa Dar es Salaam
Discover more. Find your way.Gundua zaidi. Fika unakokwenda.
LEXIN helps you discover places and find shops inside mapped venues, from the mall entrance to your destination. Built in Dar es Salaam, for the way people explore. LEXIN inakusaidia kugundua maeneo na kupata maduka ndani ya majengo yaliyochorwa ramani, kutoka mlango wa mall hadi unakokwenda. Imetengenezwa Dar es Salaam, kwa jinsi watu wanavyozunguka.
Working prototype, tested at EACLC. Public app planned for 2027.Mfano unaofanya kazi, umejaribiwa EACLC. Programu kwa umma inatarajiwa 2027.
How it worksInavyofanya kazi
From the entrance to the shop door, in three steps.Kutoka mlangoni hadi dukani, kwa hatua tatu.
01
SearchTafuta
Type a shop, a bank or a service. In a mapped venue, LEXIN shows where it is, with its unit code.Andika jina la duka, benki au huduma. Katika jengo lililochorwa, LEXIN inaonyesha lilipo, pamoja na namba ya chumba.
02
Tap “Guide me”Bonyeza “Niongoze”
Follow the dotted route on the map, or the camera arrow. Your phone vibrates as you get close.Fuata njia ya vitone kwenye ramani, au mshale wa kamera. Simu inatetemeka unapokaribia.
03
ArriveFika
LEXIN tells you when you've reached the door, not just the right floor.LEXIN inakuambia ukifika mlangoni, si tu kwenye ghorofa sahihi.
Prototype testJaribio la mfano
A real indoor route, tested at EACLC.Njia halisi ya ndani, imejaribiwa EACLC.
We mapped one ground-floor corridor at EACLC, Dar es Salaam, by walking it with a phone, then used LEXIN to guide a walk to named shop doors.Tulichora korido moja ya ghorofa ya chini EACLC, Dar es Salaam, kwa kuitembea na simu, kisha tukatumia LEXIN kuongoza matembezi hadi milango ya maduka.
Scope:Wigo: one corridor, ground floor, one side of the walkway, tested 31 October – 1 November 2026.korido moja, ghorofa ya chini, upande mmoja wa njia, majaribio ya 31 Oktoba – 1 Novemba 2026.
Doors reached:Milango iliyofikiwa: Azania Bank · NMB ATM · NMB Bank · Little More Supermarket · Boma Mali Poa Supermarket
These are results from a limited prototype test, not a venue-wide coverage or performance guarantee. Accuracy and repeatability will be validated as mapping expands.Haya ni matokeo ya jaribio dogo la mfano, si uhakikisho wa kufunika jengo zima wala wa utendaji. Usahihi na uthabiti vitathibitishwa kadri ramani zinavyopanuka.
Where LEXIN is todayLEXIN ilipo leo
What works now, and what we're building next.Kinachofanya kazi sasa, na tunachojenga baadaye.
Available nowKipo sasa
- Indoor mapping by walking a venue with a phoneKuchora ramani ya ndani kwa kutembea na simu
- Turn-by-turn guidance to named doors in mapped areas (prototype)Maelekezo hatua kwa hatua hadi milango katika maeneo yaliyochorwa (mfano)
- English and Swahili interfaceLugha ya Kiingereza na Kiswahili
- Venue partnerships and floor walks, by appointmentUshirikiano na maeneo na matembezi ya sakafu, kwa miadi
In developmentInaendelea kujengwa
- Public LEXIN app for iOS and AndroidProgramu ya LEXIN kwa umma, iOS na Android
- LEXIN Today: a daily edition of places, offers and events in DarLEXIN Leo: toleo la kila siku la maeneo, ofa na matukio Dar
- Monthly engagement reports for venuesRipoti za kila mwezi kwa maeneo
- Self-service accounts for businessesAkaunti za kujihudumia kwa biashara
For mall managersKwa wasimamizi wa mall
Make every mapped tenant easier to find.Rahisisha kila mpangaji kupatikana.
We map your floors by walking them, during quiet hours. No beacons, no wiring, no IT project for your team.Tunachora sakafu zako kwa kuzitembea, wakati wa utulivu. Hakuna beacons, hakuna nyaya, hakuna mradi wa IT kwa timu yako.
Every tenant on the mapKila mpangaji kwenye ramani
Each mapped shop gets a page, a door on the map and a “Guide me” button, listed by unit code.Kila duka lililochorwa linapata ukurasa, mlango kwenye ramani na kitufe cha “Niongoze”, kwa namba ya chumba.
Measurable engagementTakwimu zinazopimika
See searches, guided trips and door arrivals per shop. Real counts, never estimates.Ona utafutaji, safari za kuongozwa na waliofika mlangoni kwa kila duka. Takwimu halisi, si makadirio.
Your events, discoverableMatukio yako yanaonekana
Offers and events at your venue can appear in LEXIN Today once it launches.Ofa na matukio ya eneo lako yataweza kuonekana LEXIN Leo itakapozinduliwa.
Swahili and EnglishKiswahili na Kiingereza
Every screen in both languages, for local shoppers and visitors alike.Kila skrini kwa lugha zote mbili, kwa wanunuzi wa hapa na wageni.
Founding Venue PartnersWashirika Waanzilishi
We're onboarding a limited number of venues, so each floor is mapped and checked properly. Founding partners get their floors mapped at no cost, a founding rate held for the first year, and a direct line to shape the product.Tunapokea idadi ndogo ya maeneo, ili kila sakafu ichorwe na kukaguliwa vizuri. Washirika waanzilishi wanachorewa sakafu bila gharama, bei ya waanzilishi kwa mwaka wa kwanza, na nafasi ya kuchangia jinsi bidhaa inavyokua.
For businessesKwa biashara
Help people discover what your business offers.Wasaidie watu kugundua biashara yako inatoa nini.
No new app to learn. During our pilot, updates come in through WhatsApp.Hakuna programu mpya ya kujifunza. Wakati wa majaribio, taarifa zinapokelewa kupitia WhatsApp.
Get in touchWasiliana nasi
Choose the path that fits you.Chagua njia inayokufaa.
Mall & venue managersWasimamizi wa mall na maeneo
Book a floor walk or a short demo on your phone.Panga matembezi ya sakafu au onyesho fupi kwenye simu yako.
Email hello@lexin.co.tzTuma barua pepe hello@lexin.co.tz →Businesses & shopsBiashara na maduka
Get your business listed and send your first update.Orodhesha biashara yako na tuma taarifa yako ya kwanza.
WhatsApp +255 710 323 692WhatsApp +255 710 323 692 →Everyone elseWengine wote
Partners, press, advisors, or people who want to know when the app launches.Washirika, waandishi, washauri, au wanaotaka kujua programu itakapozinduliwa.
Email usTuandikie →